Tafakuri ya 5, Āyat 33:5 – 46 : Wajibu wa Mtukufu Mtume (s)
Kwa tafakuri za Qurani zilizopita, bonyeza hapa ﴾يَاأَيُّهَاالنَّبِيُّإِنَّاأَرْسَلْنَاكَشَاهِدًاوَمُبَشِّرًاوَنَذِيرًا﴿٤٥﴾وَدَاعِيًاإِلَىاللَّـهِبِإِذْنِهِوَسِرَاجًامُّنِيرًا﴿٤٦ Ewe Nabii! Hakika Sisi tumekutuma uwe shahidi na mbashiri na muonyaji. Na mlinganiaji kwa Mwenyezi Mungu kwa idhini Yake, na taa iangazayo (Sūratul AHzāb, Na. 33, Āyāt: 45-46) Katika aya hii, Mwenyezi Mungu anaelezea sifa tano za Mtukufu Mtume (s). 1. Shahidi – Mtukufu Mtume … Read more