Tafakuri ya 8, Āyāt 16: 120 – 121: – Mfano wa Nabii Ibrahim (a)
إِنَّ إِبْرَاهِيمَ كَانَ أُمَّةً قَانِتًا لِّلَّـهِ حَنِيفًا وَلَمْ يَكُ مِنَ الْمُشْرِكِينَ ﴿١٢٠﴾ شَاكِرًا لِّأَنْعُمِهِ ۚ Hakika Ibrahim alikuwa ni umma, mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, mnyofu, wala hakuwa katika washirikina. Mwenye kuzishukuru neema Zake….. (Suuratun Nahl, Na. 16, Aayaat :120-121) Kifungu hiki cha maneno kinamtukutuza Nabii mtukufu Ibrahim (a), Mtume wa Mwenyezi Mungu na mkuu wa dini … Read more