Tafakuri ya 9, Āyat 5:2: Ushirikiano Katika Jamii
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ . . . وَتَعَاوَنُواْ عَلَى الْبَرِّ وَالتَّقْوَى وَلاَ تَعَاوَنُواْ عَلَى الإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ وَاتَّقُواْ اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ شَدِيدُ الْعِقَابِ Enyi mlioamini! . . . Na saidianeni katika wema na takua wala msisaidiane katika dhambi na uadui. Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu ni mkali wa kuadhibu. (Sūratul Maa’idah, Na. 5, Aaya … Read more