Tafakuri ya 7, Āyāt 26: 87 – 89: Moyo Uliosalimika

وَلَا تُخْزِنِي يَوْمَ يُبْعَثُونَ * يَوْمَ لَا يَنْفَعُ مَالٌ وَلَا بَنُونَ* إِلَّا مَنْ أَتَى اللَّهَ بِقَلْبٍ سَلِيمٍ Wala usinihizi siku watakapofufuliwa. Siku ambayo haitafaa mali wala wana. Isipokuwa mwenye kuja kwa Mwenyezi Mungu na moyo uliosalimika. (Sūratush Shu‘arā, Na. 26, Āyāt 87-89) Du’a hii ni sehemu ya mtiririko wa du’a ya Nabii Ibrahim (a). Nabii … Read more

Tafakuri ya 6, Āyat 10:12 Mwitikio wa Binadamu Kwenye Hali ya Mambo

وَإِذَا مَسَّ الْإِنسَانَ الضُّرُّ‌ دَعَانَا لِجَنبِهِ أَوْ قَاعِدًا أَوْ قَائِمًا فَلَمَّا كَشَفْنَا عَنْهُ ضُرَّ‌هُ مَرَّ‌ كَأَن لَّمْ يَدْعُنَا إِلَىٰ ضُرٍّ‌ مَّسَّهُ ۚ كَذَٰلِكَ زُيِّنَ لِلْمُسْرِ‌فِينَ مَا كَانُوا يَعْمَلُونَ Na dhara inapomgusa mtu hutuomba naye ameegesha ubavu wake, au katika hali ya kukaa, au katika hali ya kusimama. Lakini tunapomwondolea dhara yake, huendelea kama kwamba hakupata kutuomba … Read more

Tafakuri ya 5, Āyat 33:5 – 46 : Wajibu wa Mtukufu Mtume (s)

Kwa tafakuri za Qurani zilizopita, bonyeza hapa      ﴾يَاأَيُّهَاالنَّبِيُّإِنَّاأَرْ‌سَلْنَاكَشَاهِدًاوَمُبَشِّرً‌اوَنَذِيرً‌ا﴿٤٥﴾وَدَاعِيًاإِلَىاللَّـهِبِإِذْنِهِوَسِرَ‌اجًامُّنِيرً‌ا﴿٤٦  Ewe Nabii! Hakika Sisi tumekutuma uwe shahidi na mbashiri na muonyaji. Na mlinganiaji kwa Mwenyezi Mungu kwa idhini Yake, na taa iangazayo (Sūratul AHzāb, Na. 33, Āyāt: 45-46)   Katika aya hii, Mwenyezi Mungu anaelezea sifa tano za Mtukufu Mtume (s). 1. Shahidi – Mtukufu Mtume … Read more

Tafakuri ya 4, Āyat 3:37: Ukuaji Kiroho

فَتَقَبَّلَهَا رَ‌بُّهَا بِقَبُولٍ حَسَنٍ  Basi Mola wake akamkubalia kwa kabuli nje (Sūrat Āli Imrān, Na. 3, Āyat 37) Wakati mama ya Maryam (a) alipokuwa anajifungua, yeye alitarajia kupata mtoto wa kiume ambaye alikuwa ameweka nadhiri ya kumtoa waqfu kwenye Baytul-Maqdis. Wakati anamzaa msichana, anamuomba Mwenyezi Mungu amkubaliye mtoto huyo. Mwenyezi Mungu anamkubalia kwa mapokezi mema … Read more

Tafakur ya 3, Āyat 2:26: MifanoKutoka Kwenye Qurani

إِنَّ اللَّـهَ لَا يَسْتَحْيِي أَن يَضْرِ‌بَ مَثَلًا مَّا بَعُوضَةً فَمَا فَوْقَهَا ۚ Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya kupiga mfano wowote, wa mbu au ulio zaidi yake . . . (Sūratul Baqarah, Na.2, Āyah 26). Mwenyezi Mungu Mtukufu anatoa mifano mingi ndani ya Qurani. Mifano hii inafanya mambo yawe rahisi kueleweka. Kwa mujibu wa aya hiyo hapo … Read more

Tafakuri ya Pili, Āyat 9:40: Ushindi unatoka kwa Mwenyezi Mungu

اِلاَّ تَنصُرُوهُ فَقَدْ نَصَرَهُ اللَّهُ إِذْ أَخْرَجَهُ الَّذِينَ كَفَرُوا ثَانِيَ اثْنَيْنِ إِذْ هُمَا فِي الْغَارِ إِذْ يَقُولُ لِصَاحِبِهِ لاَ تَحْزَنْ إِنَّ اللَّهَ مَعَنَا فَأَنزَلَ اللَّهُ سَكِينَتَهُ عَلَيْهِ وَأَيَّدَهُ بِجُنُودٍ لَمْ تَرَوْهَا وَجَعَلَ كَلِمَةَ الَّذِينَ كَفَرُوا السُّفْلَى وَكَلِمَةُ اللَّهِ هِيَ الْعُلْيَا وَاللَّهُ عَزِيزٌ حَكِيمٌ (التوبة/40) Kama hamtamsaidia, basi Mwenyezi Mungu alimsaidia walipomtoa wale waliokufuru. Alipokuwa wa … Read more

Tafakuri ya Kwanza, Āyat 16:97: Maisha ya kupendeza

مَنْ عَمِلَ صَالِحًا مِنْ ذَكَرٍ أَوْ أُنثَى وَهُوَ مُؤْمِنٌ فَلَنُحْيِيَنَّهُ حَيَاةً طَيِّبَةً وَلَنَجْزِيَنَّهُمْ أَجْرَهُمْ بِأَحْسَنِ مَا كَانُوا يَعْمَلُونَ (97/النحل) Mwenye kutenda mema, mwanamume au mwanamke, naye akawa ni muumini, tutamhuisha maisha mema; na tutawapa ujira wao kwa mazuri zaidi waliyokuwa wakiyafanya. (Sūratun Nahl: 16:97) Aya hii ni ahadi nzuri kwa muumini, ya matokeo ya matendo mema … Read more