Tafakuri ya 17, Āyat 37:99 SAFARI KUELEKEA KWA MOLA

وَقَالَإِنِّيذَاهِبٌإِلَىٰرَبِّيسَيَهْدِينِ Na akasema: Hakika mimi nahama, nakwenda kwa Mola wangu Mlezi; Yeye ataniongoa (Suratus Sāffāt, Na. 37, Āyat 99)   Aya hii ni kauli ya Nabii Ibrahim (a) baada ya kutoka kwenye ule moto, salama na bila kudhurika. Anaondoka kuhamia sehemu nyingine, na anawaambia watu kwamba ninaondoka kuelekea kwa Mola Wangu ambaye ataniongoza mimi. Ina … Read more

Tafakuri ya 16, Āyat 90:1 – 4; Hatari za Raha na Starehe

لاَ أُقْسِمُ بِهَذَا الْبَلَدِ* وَأَنْتَ حِلٌّ بِهَذَا الْبَلَدِ* وَوَالِدٍ وَمَا وَلَدَ* لَقَدْ خَلَقْنَا الإِنسَانَ فِي كَبَدٍ Naapa kwa mji huu! Nawe unaukaa mji huu. Na kwa mzazi na alichokizaa! Hakika tumemuumba mtu kwa tabu (Suratul Balad, Na. 90, Ayat 1-4). Katika aya hizo hapo juu, Mwenyezi Mungu anatangaza ukweli muhimu; ukweli ambao unaweza ukawa usio … Read more

Tafakuri ya 15, Āyat 41: 30 -32; Imani na Umadhubuti

﴾إِنَّ الَّذِينَ قَالُوا رَبُّنَا اللَّـهُ ثُمَّ اسْتَقَامُوا تَتَنَزَّلُ عَلَيْهِمُ الْمَلَائِكَةُ أَلَّا تَخَافُوا وَلَا تَحْزَنُوا وَأَبْشِرُوا بِالْجَنَّةِ الَّتِي كُنتُمْ تُوعَدُونَ ﴿٣٠﴾نَحْنُ أَوْلِيَاؤُكُمْ فِي الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَفِي الْآخِرَةِ ۖ وَلَكُمْ فِيهَا مَا تَشْتَهِي أَنفُسُكُمْ وَلَكُمْ فِيهَا مَا تَدَّعُونَ ﴿٣١﴾ نُزُلًا مِّنْ غَفُورٍ رَّحِيمٍ ﴿٣٢﴾ Hakika wale ambao wanasema: Mola Wetu ni Mwenyezi Mungu! Kisha wakawa na msimamo, huwateremkia Malaika (kuwaambia): Msiwe na hofu, … Read more

Tafakuri ya 14, Āyat 64:14 Hatua za Msamaha (tawba)

وَإِنْ تَعْفُوا وَتَصْفَحُوا وَتَغْفِرُوا فَإِنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَحِيمٌ Na mkisamehe, na mkapuuza, na mkaghufiria, basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira, Mwenye kurehemu. (Suratul Taghābun, Na. 64, Ayat 14) Aya hii inazungumzia kuhusu hatua tofauti za msamaha. Kwa mujibu wa Tafsiir, aya ya 14 ya Surat-Taghbuun ilishuka baada ya wake fulani kujaribu kuwazuia wale Waislamu … Read more

Tafakuri ya 13, Āyat 2:21- Taqwa: Kumtambua Mwenyezi Mungu

يَا أَيُّهَا النَّاسُ اعْبُدُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُمْ وَالَّذِينَ مِنْ قَبْلِكُمْ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ Enyi watu! Mwabuduni Mola Wenu ambaye amewaumba ninyi na wale wa kabla yenu, ili mpate kuwa na takua. (Sūratul Baqarah, Na. 2, Aya 21) Aya hii ndio amri ya kwanza ndani ya Qurani Tukufu, inayomwambia binadamu amuabudu Yule Mmoja aliyemuumba yeye na wale … Read more

Tafakuri ya 12, Āyat 13:17 – Haki na Batili

 أَنْزَلَمِنَالسَّمَاءِمَاءًفَسَالَتْأَوْدِيَةٌبِقَدَرِهَافَاحْتَمَلَالسَّيْلُزَبَدًارَابِيًاۚوَمِمَّايُوقِدُونَعَلَيْهِفِيالنَّارِابْتِغَاءَحِلْيَةٍأَوْمَتَاعٍزَبَدٌمِثْلُهُۚكَذَٰلِكَيَضْرِ بُاللَّهُالْحَقَّوَالْبَاطِلَۚفَأَمَّاالزَّبَدُفَيَذْهَبُجُفَاءًۖوَأَمَّامَايَنْفَعُالنَّاسَفَيَمْكُثُفِيالْأَرْضِۚكَذَٰلِكَيَضْرِبُاللَّهُالْأَمْثَالَ Ameteremsha maji kutoka mbinguni na mabonde yakamiminika maji kwa kadiri yake na mvo ukachukua mapovu yaliyokusanyika juu yake. Na katika vile wanavyoyeyusha katika moto kwa kutaka mapambo au vyombo vingine hutokea povu mfano wake. Hivyo ndivyo Mwenyezi Mungu anavyopiga mfano wa haki na batili. Ama povu linakwenda bure; ama kinachowafaa watu hukaa kwenye … Read more

Tafakuri ya 11, Āyat 39:42: Usingizi na Kifo

اَللَّهُ يَتَوَفَّى الْأَنْفُسَ حِينَ مَوْتِهَا وَالَّتِي لَمْ تَمُتْ فِي مَنَامِهَا ۖ فَيُمْسِكُ الَّتِي قَضَىٰ عَلَيْهَا الْمَوْتَ وَيُرْسِلُ الْأُخْرَىٰ إِلَىٰ أَجَلٍ مُسَمًّىۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَاتٍ لِقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ Mwenyezi Mungu huzipokea roho zinapokufa. Na zile zisizokufa wakati wa kulala kwake. Huzishika zilizohukumiwa kufa, na huzirudisha nyingine mpaka ufike wakati uliowekwa. Hakika katika hayo bila ya shaka … Read more

Tafakuri ya 10, Āyat 28:83: Tamaa ya Ubora

تِلْكَالدَّارُالْآخِرَةُنَجْعَلُهَالِلَّذِينَلَايُرِيدُونَعُلُوًّافِيالْأَرْضِوَلَافَسَادًاۚوَالْعَاقِبَةُلِلْمُتَّقِينَ Hayo ndiyo makazi ya Akhera, tumewafanyia wale wasiotaka kujitukuza duniani wala ufisadi. Na mwisho ni wa wenye takua. (Suratul Qasas, Na. 28, Aaya 83) Aya hii ya Qur’ani Tukufu inayochochea mawazo inashikilia siri ya ukweli mkubwa. Furaha na utukufu katika Akhera vimehifadhiwa kwa ajili ya wale ambao hawana tamaa ya kujikweza juu ya ardhi. … Read more

Tafakuri ya 9, Āyat 5:2: Ushirikiano Katika Jamii

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ . . . وَتَعَاوَنُواْ عَلَى الْبَرِّ وَالتَّقْوَى وَلاَ تَعَاوَنُواْ عَلَى الإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ وَاتَّقُواْ اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ شَدِيدُ الْعِقَابِ Enyi mlioamini!  . . . Na saidianeni katika wema na takua wala msisaidiane katika dhambi na uadui. Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu ni mkali wa kuadhibu. (Sūratul Maa’idah, Na. 5, Aaya … Read more

Tafakuri ya 8, Āyāt 16: 120 – 121: – Mfano wa Nabii Ibrahim (a)

إِنَّ إِبْرَ‌اهِيمَ كَانَ أُمَّةً قَانِتًا لِّلَّـهِ حَنِيفًا وَلَمْ يَكُ مِنَ الْمُشْرِ‌كِينَ ﴿١٢٠﴾ شَاكِرً‌ا لِّأَنْعُمِهِ ۚ Hakika Ibrahim alikuwa ni umma, mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, mnyofu, wala hakuwa katika washirikina. Mwenye kuzishukuru neema Zake….. (Suuratun Nahl, Na. 16, Aayaat :120-121) Kifungu hiki cha maneno kinamtukutuza Nabii mtukufu Ibrahim (a), Mtume wa Mwenyezi Mungu na mkuu wa dini … Read more