Tafakuri ya 7, Āyāt 26: 87 – 89: Moyo Uliosalimika
وَلَا تُخْزِنِي يَوْمَ يُبْعَثُونَ * يَوْمَ لَا يَنْفَعُ مَالٌ وَلَا بَنُونَ* إِلَّا مَنْ أَتَى اللَّهَ بِقَلْبٍ سَلِيمٍ Wala usinihizi siku watakapofufuliwa. Siku ambayo haitafaa mali wala wana. Isipokuwa mwenye kuja kwa Mwenyezi Mungu na moyo uliosalimika. (Sūratush Shu‘arā, Na. 26, Āyāt 87-89) Du’a hii ni sehemu ya mtiririko wa du’a ya Nabii Ibrahim (a). Nabii … Read more