Tafakuri ya 6, Āyat 10:12 Mwitikio wa Binadamu Kwenye Hali ya Mambo
وَإِذَا مَسَّ الْإِنسَانَ الضُّرُّ دَعَانَا لِجَنبِهِ أَوْ قَاعِدًا أَوْ قَائِمًا فَلَمَّا كَشَفْنَا عَنْهُ ضُرَّهُ مَرَّ كَأَن لَّمْ يَدْعُنَا إِلَىٰ ضُرٍّ مَّسَّهُ ۚ كَذَٰلِكَ زُيِّنَ لِلْمُسْرِفِينَ مَا كَانُوا يَعْمَلُونَ Na dhara inapomgusa mtu hutuomba naye ameegesha ubavu wake, au katika hali ya kukaa, au katika hali ya kusimama. Lakini tunapomwondolea dhara yake, huendelea kama kwamba hakupata kutuomba … Read more