Tafakuri ya 17, Āyat 37:99 SAFARI KUELEKEA KWA MOLA
وَقَالَإِنِّيذَاهِبٌإِلَىٰرَبِّيسَيَهْدِينِ Na akasema: Hakika mimi nahama, nakwenda kwa Mola wangu Mlezi; Yeye ataniongoa (Suratus Sāffāt, Na. 37, Āyat 99) Aya hii ni kauli ya Nabii Ibrahim (a) baada ya kutoka kwenye ule moto, salama na bila kudhurika. Anaondoka kuhamia sehemu nyingine, na anawaambia watu kwamba ninaondoka kuelekea kwa Mola Wangu ambaye ataniongoza mimi. Ina … Read more