Tafakuri ya 10, Āyat 28:83: Tamaa ya Ubora
تِلْكَالدَّارُالْآخِرَةُنَجْعَلُهَالِلَّذِينَلَايُرِيدُونَعُلُوًّافِيالْأَرْضِوَلَافَسَادًاۚوَالْعَاقِبَةُلِلْمُتَّقِينَ Hayo ndiyo makazi ya Akhera, tumewafanyia wale wasiotaka kujitukuza duniani wala ufisadi. Na mwisho ni wa wenye takua. (Suratul Qasas, Na. 28, Aaya 83) Aya hii ya Qur’ani Tukufu inayochochea mawazo inashikilia siri ya ukweli mkubwa. Furaha na utukufu katika Akhera vimehifadhiwa kwa ajili ya wale ambao hawana tamaa ya kujikweza juu ya ardhi. … Read more