Tafakuri ya 21, Āyāt 35:6; Shaitaan – Adui wa Dhahiri
إِنَّ الشَّيْطَانَ لَكُمْ عَدُوٌّ فَاتَّخِذُوهُ عَدُوًّا Hakika Sheitani ni adui yenu, basi mfanyeni kuwa ni adui (Suratul Fatir, Na. 35, Aaya 6) Kumtambua adui maana yake ni kuwa na tahadhari. Hakuna muda wa kuridhika na kutulia hususan pale adui anapokuwa amefichikana, wakati anapoweza kuingia kwenye akili na mawazo yako, na kunong’ona kwenye masikio yako. Adui … Read more