Tafakuri ya 14, Āyat 64:14 Hatua za Msamaha (tawba)
وَإِنْ تَعْفُوا وَتَصْفَحُوا وَتَغْفِرُوا فَإِنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَحِيمٌ Na mkisamehe, na mkapuuza, na mkaghufiria, basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira, Mwenye kurehemu. (Suratul Taghābun, Na. 64, Ayat 14) Aya hii inazungumzia kuhusu hatua tofauti za msamaha. Kwa mujibu wa Tafsiir, aya ya 14 ya Surat-Taghbuun ilishuka baada ya wake fulani kujaribu kuwazuia wale Waislamu … Read more