Tafakuri ya 18, Āyāt 14: 24 – 25; Neno Zuri
كَلِمَةً طَيِّبَةً كَشَجَرَةٍ طَيِّبَةٍ أَصْلُهَا ثَابِتٌ وَفَرْعُهَا فِي السَّمَاءِ ﴿٢٤﴾ تُؤْتِي أُكُلَهَا كُلَّ حِينٍ بِإِذْنِ رَبِّهَا Neno zuri; kama mti mzuri, mizizi yake ni imara na matawi yake yako mbinguni. Hutoa matunda yake kila wakati kwa idhini ya Mola Wak (Surat Ibrahim, Na 14, Ayat 24-25). Lile neno zuri katika mti huu limeelezewa kama ni … Read more